Jumanne, 10 Machi 2015

VURUGU ZATOKEA HUKO KENYA BUNGENI NAKURU WAWEZA ONA HAPA....

susan
Leo ukumbi wa baraza la Kaunti ya Nakuru Kenya umegeuka  kuwa uwanja wa ngumi baada ya Wabunge kupigana kutokana na kuwepo kwa mvutano kati ya Wabunge wanaomuunga mkono Spika Susan Kihika aliyefukuzwa hivi karibuni na Wabunge wengine kumtaka Naibu Spika Samuel Tunui aendeleze vikao vya Bunge leo, huku Naibu Spika huyo akidai kushambuliwa na wahuni waliokodishwa na Spika.
Kulikuwa na muswada uliokuwa upendekeze kanuni kuhusu jinsi ya kumuondoa Naibu  Spika, Samuel Tunui na wenyeviti wa kamati mbalimbali wanaodaiwa kupinga uongozi wa Spika ambao Wabunge hao bado hawajakubaliana kuupitisha muswada huo.
Taarifa hiyo iliyoripotiwa na TV ya K24 bonyeza play hapakuitazama…
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text