Brand new Single: Queen Darleen feat Shilole - Wanatetemeka
Kwa kupitia biti la Shilole a.k.a Shishy Baby, "Nakomaa na Jiji", Queen
Darleen amepita muemule na kudondosha pini linaloitwa "Wanatetemeka"
akiwa na Shilole mwenyewe..fanya kuisikiliza hapa.
0 maoni:
Chapisha Maoni