Jumatano, 19 Februari 2014

RASH

RASH RECORDS YATOA NAFASI KWA WASANII

Rash records kutoka pande za tabata zina leta ukomboz wa sana ya muzik wa bongo fleva ikiwa imeanza na msanii mwenye staili ya kipekee na jina la kipekee aitwaye Manyut na baada ya huyo kufanya poa sasa ya toa nafasi kwa msanii yeyote anayejijuwa ni mkali. Ili kufika studio na kusikilizwa kama utafanya poa itafanyika ngoma na utafanyiwa promo ya radio.
Mawasiliano - 0714 854 590
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text