Brand New Single: Haina noma - Julio feat Chege na Madee
Sikiliza single mpya ya aliekuwa mshiriki wa BBA 2013 kutoka
Tanzania,Julio ambayo amemshirikisha Chege pamoja na Madee huku akiwa
amerecord chini ya mkono wa producer Jobanjo ambae ametengeneza hit ya
Makomando (Kibaba baba) na hata hii inayofanya vizuri kutoka kwa Msami
(Sound Track).
Julio amesema hii ndio single yake ya Kwanza kama yeye maana zingine ni zile ambazo ameshirikishwa.
"kama unakumbuka ile Waters Upniliyofanya na Luchi ilikuwa ni Luchi and
Julio na hii ya kina Country Boy nimeshirikishwa tu, so hii ndio single
yangu ya kwanza na nimewashirikisha Madee na Chege inaitwa "Haina
Noma."amesema Julio
0 maoni:
Chapisha Maoni