Jumamosi, 3 Mei 2014

ALLY KIBA KUKAA KIMYA SIYO BURE ILA AJA NA STAR MKALI WA KITAIFA

Screen Shot 2014-05-03 at 11.55.31 AMNi kitambo sana Ali Kiba hajasikika kwenye single yake mpya isipokua kolabo tu ambayo ni single ya Tunda Man ila yeye mwenyewe amemisika sana kwenye single zake.
Tunda Man ambae ni mshkaji wake sana Ali Kiba leo ameweka hiyo picha hapo juu kwenye instagram na kuandika ‘boonge la ngomaaaaa, dah big up Ali Kiba, hatari nasikiliza kila mda new hit, unarudi kwa vurugu nyingi’
Bado haijatangazwa inatoka lini ila millardayo.com iko karibu na wewe, kaa karibu yangu kwenye twitter na instagram pia facebook kwa jina hilohilo la @millardayo na chochote kikinifikia nakudondoshea.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text