

Kwa kumdunga mtu sindano yenye viini hivyo vyo mtu anaweza kukingwa na ugonjwa huo .
Watafiti hao ambao walichapisha matokeo yao kwenye jarida la kisayansi , wanasema majaribio ya utafiti huo katika binadamu na katika sokwe sasa yanahitaji kutathminiwa kikamilifu ili kupata matumaini halisi ya chanjo ya malaria.(MM)
" Hata hivyo wadudu wa malaria ni vigumu kuwashambulia'' . Kwa kweli ni maadui wakubwa ." aliongeza Kurtis. Utafiti huo ulianza kwa kundi la watoto wa shule 1000 nchini Tanzania , ambao sampuli za damu yao zilichunguzwa mara kwa mara katika miaka ya mwanzo ya maisha yao .
Asilimia 6 ya watoto ya watoto hawa waliweza kuwa na kinga asilia kwa malaria, licha ya kuishi katika eneo ambako ugonjwa huo umekithiri.
0 maoni:
Chapisha Maoni