
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye Uwanja wa
shule ya sekondari Sebuka, wilaya ya Ikungi mkoani Singida, leo, Mei
22, 2014

Jengo
hili lililoko Kijiji cha Msimi, Kata ya Sepuka wilayani Ikungi,
lilifunguliwa na Rais Jakaya Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Baadhi
ya wanachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kupewa kadi na Kinana
baada ya uzinduzi wa Ofisi ya CCM kata ya Inghombwe wilayani Ikungi
0 maoni:
Chapisha Maoni