Jumamosi, 3 Mei 2014

KAMPENI HIZOO


Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa  akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Isupilo Kata ya Lumuli alipowatembelea jana kutoa shukurani kwa kumchagua na kujua changamoto walizo nazo katika kazi za maendeleo pamoja na kuwaunga mkono kwa kuwapa baadhi ya vifaa vya ujenzi.

Godfray Mgimwa akimkabidhi  Edward Mbwilo mabati 50 katika Kijiji cha Isupilo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati.  

Godfrey Mgimwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Isupilo FC James Mwano mipira mitano yenye thamani ya Tsh 225,000/= kwa ajili ya vijana watimu ya mpira wa miguu kijijini hapo. (Picha na Mnyalu) (J M)
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text