Ijumaa, 12 Desemba 2014

BAADA YA KUTOKA NA MFALME, MWANA FA AJIPANGA NA KUTOA VIDEO NYINGINE NA HIZI NDO BAADHI YA PICHA ZA VIDEO HIYO INAYOTARAJIWA KUTOKA SOON........

.
Ali Kiba akiwa na Warembo katika utengenezaji wa video hiyo mpya ‘Kiboko Yangu aliyoshirikishwa na Mwana FA.
Sina Shaka na wewe mtu wa nguvu utakuwa umeshaisikiliza single mpya ya Hamisi Mwinjuma aka Mwana FA ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Ali Kiba ambayo inaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya radio.
Good news ninayotaka kukupatia ni kwamba wakati single hiyo ikiendelea kufanya vizuri kwenye spika za radio yako soon inatarajiwa kuona kwenye chati za TV na hizi ndio baadhi ya picha za Behind  The Scene ambazo zikimuonesha Mwana FA na Ali Kiba wakiwa location katika uandaaji wa video hiyo mpya Kiboko Yangu.

.
.
.
.
.
.
.
Ali Kiba na Mwana FA wakiwa Location katika utengenezaji wa video mpya hiyo Kiboko Yangu.
.
Ali Kiba akiwa na Warembo katika utengenezaji wa video hiyo mpya.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text