Jumanne, 23 Desemba 2014

HAYA SASA PATA NA HII KUHUSU UGOMVI WA KOFIA ULIFIKA MBALI,MPAKA MKASI UKATUMIKA KUKATISHA MAISHA YA MTU.

29877241.Monday7thJune2004
Ugomvi wao ulianza kama utani, mmoja hakupendezwa na utani huo, hata alipokasirika mwenzake alidhani utani unaendelea, Agwugho akajikuta akifanya maamuzi ambao yalipelekea rafiki yake kufariki.
Polisi wa Lagos, Nigeria wamesema wamemkamata mtuhumiwa Joseph Agwughokwa tuhuma za kumuua rafiki yake Enya Okpara, kwa kumchoma na mkasi rafiki yake, uchunguzi unaonyesha Agwugho na Okpara walikuwa wakigombania kofia ndipo mtuhumiwa alipochukua mkasi na kumchoma nao marehemu shingoni mara tatu.
Okpara alikimbizwa katika Hospitali  Lagos na muda mfupi baadaye kufariki, Agwughoanakabiliwa na kesi ya mauaji, alipandishwa Kizimbani na baadaye kurudishwa gerezani.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text