Jumamosi, 13 Desemba 2014

ILIVYOKUWA JANA KWA DIAMOND KWENDA KUPIGA SHOO MOMBASA NYOTA ILING'AA.....

4X7A9749
Desemba 12 ni siku ambayo Kenya inasherehekea  maadhimisho miaka 51, ya Sikukuu ya Jamhuri,  sherehe hizo zinafanyika katika Uwanja wa Nyayo na zinagegemewa kuwa fupi tofauti na miaka mingine.
Mastaa wachache watafanya show kwenye Mashariki Festival ambayo inafanyika usiku huu Mombasa, Kenya huku Diamond Platnumz akiwa mmoja kati ya wasanii hao ambae amealikwa.
Hizi ni picha alizoweka msanii huyo akiwa tayari ndani ya Mombasa leo, msafara wa mapokezi yake ulisindikizwa na gari za Polisi.
Dai III
Dai IIIvv
Dai II
Dai IIIV
Dai

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text