Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa hewani leo Desemba 23, yako hapa nimekurekodia unaweza kusikiliza yakichambuliwa na Paul James, kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast.
Habari kuhusu hatua aliyoichukua Rais Jakaya Kikwete, dhidi ya Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof Anna Tibaijuka, imeonekana kutawala Magazeti yote ya leo.
0 maoni:
Chapisha Maoni