
Soudy Brown alimtafuta Idris na kumuuliza kuhusiana na story ambazo zimeenea kwamba kiasi cha pesa alichoshinda sio chote atakachopatiwa, ila kutakuwa na 18% ambayo inatakiwa ikatwe ya kodi.
Idris amesema hajui chochote kuhusu masuala ya kodi hiyo, ila yeye anachokijua ni kwamba ameshinda kiasi cha dola laki tatu, alipoulizwa kama kiasi hicho cha pesa alichoshinda ameshakabidhiwa Idris alisema hawezi kuzungumzia hilo kwa sasa.
U Heard iko hapa unaweza kuisikiliza.
Nitakufikishia kila story inayonifikia mtu wangu,
0 maoni:
Chapisha Maoni