
Akizungumza wakati wa kuendesha zoezi la kuwavalisha vifaa maalum kama pete ambavyo vitatoa ishara iwapo dereva atatumia simu wakati akiwa anaendesha gari,Chikawe amesema “… Wasitumie simu huku wakati wakiendesha magari, kwa sababu hiyo nitakuvisha hiki.. Hii ni alama kila saa itakukumbusha kwamba ngoja nifike kwanza ndio nitume ujumbe wangu au nifike kwanza ndio nipige simu yangu…”
Kuisikiliza sauti niliyokurekodia taarifa hiyo kutoka ITV bonyeza play hapa.
0 maoni:
Chapisha Maoni