Jumatano, 3 Desemba 2014

KUTOKA ESCAPE 1 KWENYE PRESS CONFERENCE BAADA YA DIAMOND PLATNIUM KUTUA BONGO!!!!!

51dmndWaandishi wa habari,mashabiki na wadau wa muziki jioni ya Dec 02 walipata nafasi ya kuuliza maswali mbalimbali kwa Diamond Platnumz ambaye ameingia mchana wa leo na kutoa nafasi hiyo jioni.
56dmndMiongoni mwa vitu alivyovizungumza Diamond kwenye mkutano wake huu alisisitiza umoja kwa wasanii wa Tanzania ili kufikia nafasi ambazo nchi zingine kama Nigeria zimefika za kusimamisha wasanii wengi kwa pamoja.
54dmnd
50dmnd
48dmnd
43dmnd
42dmndMoja ya mistari yake amesema>>‘Tulivyofika Nigeria nilikuwa najiona kama mkiwa,Nikiangalia huku simuoni hata Jaguar,huku siwaoni wasanii wenzangu namtafuta Dimpoz simuoni hata Ally simuoni yaani niko peke yangu’.
CHANZO CHA HABARI NA MILLARDAYO.COM
Bonyeza play kusikiliza.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text