Ijumaa, 12 Desemba 2014

ULIENDELEA KUSIKIA MKASA ULIOVUMA KUHUSU YULE MDADA WA KAZI ALIYEMTESA MTOTO HUKO UGANDA SASA HIZI HAPA PICHA ZAKE AKIWA KIZIMBANI MAHAKAMANI..


image-11-12-14-11-58-1Kwa mara ya pili yule msichana anayetuhumiwa kwa kesi ya kumpiga mtoto Uganda amepandishwa Mahakamani jana December 10, tarehe ambayo Mahakama ya Uganda ilipanga kutoa hukumu ya msichana huyo.
Msichana huyo Jolly Tumuhirwe, alipandishwa Mahakamani siku ya Jumatatu wiki hii ambapo alikiri kutenda kosa hilo na kuomba msamaha, amerudishwa tena gerezani mpaka December 16, siku ya Jumanne ambapo atapandishwa tena Mahakamani kwa ajili kesi yake kuendelea kusikilizwa..
Kesi hiyo itaendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Buganda Road Jumanne ya wiki ijayo.
image-11-12-14-11-58
Nimerekodi sauti wakati taarifa hiyo ikisomwa hewani kupitia kituo cha TV cha WBS Uganda, unaweza kuisikiliza hapa.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text