
New
Maisha Club ndiyo Club pekee Tanzania iliyofanikiwa kuwa na matawi mengi
mikoani ukitoa Dar es salaam ambayo ndiko ilikoanza,kwa sasa New Maisha
Club ipo Morogoro,Mtwara,Dodoma na Mbeya ambapo kuna baaadhi ya party
hufanyika siku moja kupitia club zote hizi.

New
Maisha Club 87.8 Mbeya Jumapili ya April 06 Kutakua na usiku wa vyuo
ambao utasindikizwa na Roma Mkatoliki huko Roma ataenda pia kuzindua
wimbo wake mpya wa K.K.K

New
Maisha Club 88.5 Morogoro Jumapili April 06 kutakua na Shilole utakua ni
uzinduzi wa video ya Chuna Buzi ambapo kwa Shilole atasindikizwa na Nuh
Mziwanda na Darasa.

New Maisha Club 88.4 Mtwara April 06 kutakuwa na Mirror kwenye Mirro’s Night upande wake atakua na Jordan da Prince.(AD)
0 maoni:
Chapisha Maoni