Katika
kitu ambacho wengi hawafahamu kuhusu mkali huyu anaetoka kwenye mkoa
karibu na Congo Ommy Dimpoz, ni ucheshi alionao, ni muongeaji sana ambae
mara nyingi ukikaa nae lazima akuchekeshe sana na kuna namna ambavyo
anaweza kuibadilisha sauti yake na kuongea kama mtoto aliebanwa na meza,
yani ni noma.April 15 2014 usiku ametoa kali pale ambapo ametoa akapela ya Kikongo kupitia video aliyoipost instagram ambayo iliwagusa wengine kama Ben Pol mpaka wakacomment.






0 maoni:
Chapisha Maoni