
-
This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
-
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.
Alhamisi, 30 Oktoba 2014
PICHA NNE ZA CHIDI BENZI BAADA YA KUPATA DHAMANA HAPO JANA MAHAKAMANI.

UCHUNGU WA WAZAZI HAWA KWA WATOTO WAO UMEFIKIA KIWANGO HIKI......

SEKUNDE 90 ZA RAPPER CHID BENZI..............

Ayo Tv iliweza kumnasa rapper huyu na kuzungumza naye mawili matatu hebu sikiliza hapa na kuona.Rapper Chidi Benz ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam baada ya kutimiza masharti ambayo ni pamoja na kupeleka Wadhamini wawili na shilingi milioni moja za Kitanzania ikiwa ni kutokana na kukamatwa na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege Dar akisafiri kwa Fastjet kuelekea Mbeya.
Bonyeza hapa kwa kusikiliza:
Jumatano, 29 Oktoba 2014
ZAMBIA WAMPOTEZA RAIS WA PILI AKIWA MADARAKANI.
STORI KUBWA SITA ZA LEO KWENYE MAGAZETI MBALIMBALI.
UCHUNGUZI WAENDELEA KUHUSU YA KITU KILICHOJULIKANA KAMA BOMU DAR ES SALAAM.

Taarifa iliyoripotiwa na kituo cha Radio One imesema kuwa hofu imetanda eneo la Kijitonyama Dar es Salaam karibu na kanisa la KKKT baada ya kuonekana kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni bomu, na kwa mujibu wa taarifa hiyo jeshi la polisi tayari wamefika eneo la tukio na kuweka ulinzi eneo la tukio kwa sababu za kiusalama.
Jumatano, 22 Oktoba 2014
AKON AKIWA NA D'BANJI KWENYE COLLABLE LA HATARI..............
Jumanne, 21 Oktoba 2014
UMEISIKIA HII KUWA EBOLA YAPATA CHANJO .........................................

BAADA YA BASI NENDA SASA MO MUSIC AMEKUJA KIVINGINE..........
MSIBA MWINGINE BAADA YA YP TUMEONDOKEWA NA MWIGIZAJI MWINGINE......SOMA HAPA ...

BREAKING NEWS:KIPINDI CHA INTERVIEW DAY SASA KIMEANZA KURUSHA MATANGAZO YAKE RASMI......SOMA HAPA ZAIDI...
NI PICHA 11 KUTOKA KEKO, NYUMBANI KWENYE MSIBA WA MSANII WA TMK YP

KILICHOMTOKEA AISHA BU,CHAMTOKEA BATULI PIA, AFUNGUKA KWA MASIKITIKO SOMA HAPA.......
![]() |
Batuli |
pesa yake kwa wakati na kumlipa nusu licha ya Aisha kusubiri kwa muda mrefu bila mafanikio huku mhusika akidaiwa kum-block Bui katika simu yake ndipo hasira zikampanda Aisha na kufunga kibwebwe mpaka ofisi hizo zilizopo Mbagala na kukinukisha. Batuli Yobnesh Yusuph nae amefunguka baada ya sakata hilo na kusema hata yeye yameshamtokea hayo kutokana na baadhi ya wasambazaji wasivyo waaminifu kutaka kuwadhulumu wasanii. Batuli ameandika.........
"Haya ndio tunayokutana nayo wasanii wa kike, Kiukweli kabisa wapo watu wanaoturudisha nyuma kila kukicha, Mbaya zaidi wanaofanya hivi ni wale wanaoheshimika kwenye jamii na sio kwamba hana uwezo wa kukulipa bali hufanya hivi kukukomoa tu, Binafsi nina maumivu kama ya @aishabuithebootybaby unafanya kazi na mtu kwa makubaliano fulani tena kwenye mazingira magumu matokeo yake mwisho wa siku anakudhulumu haji yako, Ukitupia picha mitandaoni unakutana na maswali kutoka kwa mashabiki "Tumekumic Hatukuoni Kwenye Movie Siku Hizi" Mazingira ya Ubabe, Dhulma, ndivyo vinavyotawala kwenye fani hii, Haipendezi na sio vyema kwa wale wenye tabia kama hizi, Acheni dhulma kwenye kazi, Mkumbuke tunaaga kwenye familia zetu kuwa tunakwenda kazini, Matokeo yake ukirudi nyumbani watu wanakushangaa badala ya kuhudumia familia wewe ndio unakuwa Matonya. Kesho na kesho kutwa unaandikwa magazetini unagombeae bwana watu wanakuona muhuni sasa kwa style hii ya kudhulumiana unategema mtu ajikimboe kwa njia gani?"
HAYA SASA UMEIPATA HII, KIMENUKA KWA MISS TANZANIA 2014....SOMA HAPA
Habari ambazo zimeandikwa leo mpaka magazetini ni kuwa kuna uwezekano mkubwa wa Sitti kuvuliwa taji la Miss Tanzania 2014 huku issue ya umri wake ikiwa moja ya point kuu za kumvua taji hilo. Inadaiwa pia kuwa kwasasa wajumbe wa kamati ya Miss Tanzania wamegawanyika ambapo kuna wasioukubali ushindi wa Sitti huku wengine wakiona sawa tu.
![]() |
Jihan |
SHABBY ANGEL NA BOB JUNIOR WAANGUKIA KWENYE DIMBWI ZITO LA MAHABA......
Kwa mujibu wa chanzo makini toka kwa wawili hao kikizungumza na Swahiliworldplanet jioni hii kimesema kuwa Sabby na Bob Junior wanapendana na mahaba yao yalianzia studio ya Bob Junior hivi juzi kati Sabby alipoenda kwa ajili ya issue zake za muziki ndio kila mmoja akamzimikia mwenzake.
Ukiachilia mbali hayo Bob Junior amekuwa akirusha comments na kuchat kimahaba na Sabby Angel kwenye mitandao ya kijamii hususani Instagram kama inavyoonekana hapo chini.
Hapo Sabby aliweka picha ya Bob Junior na Bob Junior kuanza kuchombeza
Bob Junior hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya wakati Sabby kwasasa anatamba sokoni na filamu ya Siri Ya Giningi huku filamu yake mpya ya Moto Wa Radi ikitarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu kuanzia sasa.
UNAFAHAMU KUHUSU OSCAR PISTORIUS? ISOME HAPA!!!!!!!

UNAIJUA ZAWADI ALIYOPEWA T.I NA BOSS WA CLOUDS.......? ISOME HAPA
CHANZO CHA PICHA NA:MILLARDAYO.COM
BREAKING NEWS:UMESIKIA HII KUTOKA MAREKANI EBOLA YAWA TISHIO HUKO?


PATA NAFASI NA DAKIKA 3 ZA UKWELI KUCHEKI KICHUPA HIKI SAFI KUTOKA KWA PHD................
BREAKING NEWS: HII NI KUTOKA KWA VANESSA MDEE KUWA TUSUBIRIE KICHUPA CHAKE KINGINE KUTOKA NJE YA TANZANIA

