Alhamisi, 30 Oktoba 2014

SEKUNDE 90 ZA RAPPER CHID BENZI..............

AyoTV 12
 Ayo Tv iliweza kumnasa rapper huyu na kuzungumza naye mawili matatu hebu sikiliza hapa na kuona.Rapper Chidi Benz ameachiwa kwa dhamana na Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar es salaam baada ya kutimiza masharti ambayo ni pamoja na kupeleka Wadhamini wawili na shilingi milioni moja za Kitanzania ikiwa ni kutokana na kukamatwa na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege Dar akisafiri kwa Fastjet kuelekea Mbeya.

Bonyeza hapa kwa kusikiliza:

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text