
Kumekuwepo na malalamiko mengi sana hasa kwenye mitandao ya kijamii ambako zimesambazwa hadi picha zake pamoja na hati za kusafiria, ishu nyingine ikizungumzwa kwamba kuna uwezekano amedanganya umri na elimu yake.
Wakati millardayo.com inaendelea kumtafuta Miss Tanzania Sitti, haya ndio aliyoyaandika rapper Fid Q kuhusu malalamiko ya Watanzania yanayoendelea juu ya umri wa mrembo huyu.


0 maoni:
Chapisha Maoni