Jumapili, 12 Oktoba 2014

HUU NDIO UTAYARISHO WA VIDEO MPYA YA RICH MAVOKO TOTO TUNDU........


Msanii Rich Mavoko anafunga mwaka 2014 kwa kutoa video kwa kufululiza. Baada ya video yake ‘Pacha Wangu’ kutoka,sasa anakuja na video nyingine ambayo amefanya na Adam Juma. Video itaitwa Toto Tundu.
Kwenye video hii ameigiza kama Kichaa.
rich 1rich 2rich 3

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text