Mara nyingi tumezoea kuona askari wa usalama barabarani wakiwa kwenye kazi serious ambapo kwa Tanzania ni mmoja tu niliwahi kumuona anachangamka na kuchezacheza akiwa anaongoza magari kwenye taa za barabarani Sayansi Kijitonyama Dar es salaam.Alhamisi, 9 Oktoba 2014
Home »
» NCHI ZA WENZETU ZINAMAMBO HEBU TAZAMA HUYU ASKARI WABARABARANI
NCHI ZA WENZETU ZINAMAMBO HEBU TAZAMA HUYU ASKARI WABARABARANI
Mara nyingi tumezoea kuona askari wa usalama barabarani wakiwa kwenye kazi serious ambapo kwa Tanzania ni mmoja tu niliwahi kumuona anachangamka na kuchezacheza akiwa anaongoza magari kwenye taa za barabarani Sayansi Kijitonyama Dar es salaam.





0 maoni:
Chapisha Maoni