Jumapili, 12 Oktoba 2014

ILIVYOKUWA KWENYE MISS TANZANIA HAPO JANA USIKU HII HAPA


.
.
Mrembo kutoka wilaya ya Temeke,Sitti  Mtemvu usiku wa kuamkia Oct 12 ametwaa taji la Miss Redd’s Tanzania 2014,katika shindano hilo la kumsaka mrembo lililofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu ambaye ni binti wa Mbunge wa Temeke,Mhe.Abbas Mtemvu alikabidhiwa zawadi ya fedha taslimu Milioni 18,huku mshindi wa pili alikabidhiwa fedha taslimu Milioni 6.
.
.Pichani:Mrembo wa Redd’s Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili,Lilian Kamazima(Kulia)na mshindi wa tatu Jihan Dimanhk baada ya kutwaa taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 Mlimani City Dar es Salaam.
Angalia picha mbalimbali zikiwemo wasani mahiri Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakitoa burudani jukwaani
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

CHANZO CHA PICHA:MILLARDAYO
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text