Jumatatu, 20 Oktoba 2014

UNATAMANI KUWAJUA WASANII 3 AMBAO HERMY B ANAWAKUBALI? kawataja hapa.....

hamyProducer na mmiliki wa studio za B-Hits Hermy B wiki iliyopita alipata nafasi ya kuhojiwa na Salama kwenye kipindi cha Mkasi ambapo miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni pamoja na wasanii anaowakubali Tanzania kwa uandishi.
hamybHermy B ambaye alianza kwa kucheka alianza kuitaja list ya wasanii wake anaowakubali kwa uandishi bora ambapo wa kwanza alimtaja Fid Q,wa pili Profesa Jay na wa tatu kamtaja Hamis ‘Mwana Fa’.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text