Ni kipindi kinachohoji wasanii mbalimbali,raia wa kawaida,wajasiliamali,wanafunzi toka katika ngaz mbalimbali,walimu na wengine wengi pia ndani ya kipindi hicho utapata kujifunza mambo mengi yahusuyo jamii na maisha ya watu kwa ujumla na kimeanza rasmi leo kumbuka host wa kipindi hiki ni JAYRICK akiwa sambamba na DIRECTOR EMMANUEL ELIAS
PIA WAWEZA TOA MAONI YAKO KAMA MPENZI MTAZAMAJI WA KIPINDI CHETU NA PIA TWAWAKARIBISHA SANA KWENYE KIPINDI HIKI.





0 maoni:
Chapisha Maoni