Msanii ambaye chimbuko lake ni Tanzania ila hufanyia kazi zake nyingi Kenya ametoa wimbo wenye jina sawa na Wimbo wa Diamond Platnumz ‘Mdogo Mdogo’. Kitendo hichi kimetafsiriwa mwanzo wa beef kati ya hawa wasanii wawili. Hii ndio kazi yenyewe, bonyeza play kusikiliza.Jumapili, 12 Oktoba 2014
Home »
» ULISIKIA KUWA HUSSEIN MACHOZI KATOA WIMBO UNAITWA MDOGO MDOGO NDO HUU SASA
ULISIKIA KUWA HUSSEIN MACHOZI KATOA WIMBO UNAITWA MDOGO MDOGO NDO HUU SASA
Msanii ambaye chimbuko lake ni Tanzania ila hufanyia kazi zake nyingi Kenya ametoa wimbo wenye jina sawa na Wimbo wa Diamond Platnumz ‘Mdogo Mdogo’. Kitendo hichi kimetafsiriwa mwanzo wa beef kati ya hawa wasanii wawili. Hii ndio kazi yenyewe, bonyeza play kusikiliza.





0 maoni:
Chapisha Maoni