
Ni kwamba rapper Wiz Khalifa na Amber Rose waliokua wanandoa wameachana hivi karibuni baada ya kukaa kwenye ndoa ya miezi 14 wakati ambapo mtoto wao Sebastian ana miezi 20 tu.

Wawili hawa walionekana pamoja kwenye ‘bata’ huko Hollywood Marekani Jumanne ya wiki hii ambapo japo hawakukamatwa na camera wakiwa kwenye picha ya pamoja, walikuwepo pamoja ndani na hata kuondoka waliondoka pamoja.
0 maoni:
Chapisha Maoni