Mfalme wa Kusini,Clifford Joseph Harris, Jr aka T.I baada ya kuacha historia kubwa Tanzania katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 Oct 18 Leaders Club Dar es Salaam, Mkurungenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,’Joseph Kusaga’ alimkabidhi msanii huyo zawadi yenye mfano wa silaha za jadi.
Itazame video hapa mtu wangu uone jinsi alivyokabidhiwa zawadi hiyo
CHANZO CHA PICHA NA:MILLARDAYO.COM
0 maoni:
Chapisha Maoni