Jumanne, 21 Oktoba 2014

UMEISIKIA STORY HII YA KUHUSU BOKO HARAM KUIGEUKA SERIKALI YA NIGERIA......

Abuu wa Boko Haram & 200 schoolgirlsSiku chache baada ya vyombo mbali mbali vya habari kuripoti kuhusiana na serikali ya Nigeria na kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram kufanya makubaliano ambayo yalijenga matumaini ya kuachiwa huru kwa wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kikundi hicho, shirika la utangazaji la uingereza BBC, limeripoti kuhusiana na mashambulizi yaliyofanywa na kikundi hicho.
Taarifa zinasema kwamba wapiganaji hao wamewaua kwa kuwapiga risasi na kuwachinja watu kadhaa katika vijiji vitatu tofauti Kaskazini Mashariki ya Nigeria, na kupandisha bendera yao.
Serikali ya Nigeria imesisitiza kuendelea na nia yake ya kufanya majadiliano na kikundi hicho, licha ya kuwa kimekiuka makubaliani waliyoafikiani mwishoni mwa wiki iliyopita nchini Chad.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text