
Huku akiwa anapromote albam hiyo, Flavour alipata nafasi ya kuzungumzia kuhusu anachokiangalia kwa sasa baada ya kupata mafanikio makubwa kupitia albamu hiyo, unajua alijibu nini kuhusu kuoa?
“.. Sipendi kuzungumzia kuhusu kuwa baba.. lakini sijapanga kuoa kwa sasa kutokana na kwamba kazi yangu inanihitaji sana.. Nitahitaji muda mwingi kuwa karibu na familia yangu, kitu ambacho siwezi kukifanya kwa sasa… Nimelelewa vizuri na wazazi wangu, wamekuwa karibu na mimi wakiniangalia na ndio kitu nahitaji kukifanya kwa familia yangu.. Kwa sasa sihitaji kuoa..”– Flavour.
0 maoni:
Chapisha Maoni