Ijumaa, 21 Novemba 2014

ULIWAHI KUFIKIRIA MUUNGAO WA JAGUAR WA KENYA NA IYANYA? SASA NGOMA YAO HII HAPA YA WAWILI HAWA........

Screen Shot 2014-11-21 at 1.55.07 AMStaa wa hit single kama ‘kioo’ na ‘kigeugeu’ mkenya Jaguar amerudi tena kwenye spika zetu kwa kuidondosha hii remix ya single yake mpya ya ‘One centimetre’ ambayo kamshirikisha mkali Iyanya kutoka Nigeria.
Iyanya 2Jaguar atapenda sana kusoma maoni ya mashabiki wake baada ya kuisikiliza hii single mtu wangu so ufanye kumuachia comment hapo chini…

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text