Jumamosi, 15 Novemba 2014

HII NI VIDEO IKIMUONYESHA RAIS KIKWETE AKITOKA HOSPITALI....


JKPicha nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume.
Leo nimekuwekea video hii ambayo nimeitoa kwenye blog ya Issa Michuzi, inayomwonyesha Rais akiwa anatembea kutoka Hospitali ya Johns Hopkins, Maryland Marekani alikokuwa anapatiwa matibabu hayo.
BONYEZA HAPA KUANGALIA............


Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text