Jumanne, 18 Novemba 2014

BAADA YA EJEAJO FT T.I SASA P SQUARE WAMEKUJA NA HII.......

ShekiniKwa mara ya mwisho inawezekana uliiona video ya Ejeajo ambayo inaendelea kufanya vizuri katika vituo mbalimbali vya TV Duniani ambapo P Square wamemshirikisha rapaT.I kutoka Marekani.
Sasa kingine cha kufahamu ni kwamba sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa ndoa ya Peter Okoye ambayo ilikuwa jana Novemba 17 2014 siku ambayo pia wamesherehekea siku yao ya kuzaliwa, P Square wameitumia siku huu pia kusherehekea na mashabiki wao duniani kwa kuachia video ya wimbo mpya unaitwa Shekini.
Bonyeza play hapa chini uitazame video yenyewe mtu wangu..

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text