AyoTV imeleta kitu kinaitwa #StorizaAyoTV ambazo zitakua zinatoka kila wakati kukuletea video za interview na mastaa wa Tanzania na nje ya Tanzania, matukio mbalimbali ya burudani, michezo maisha na ishu nyingine.
Stori za AyoTV leo zinakukutanisha na stori hizi tatu, video ikionyesha Ay akiwa anafanya video nyumbani kwa Sean Kingston Marekani, aliyoyaongea Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa kabla ya kuondoka Tanzania.
Vilevile kwenye hii video hapa chini kuna Exclusive interview na Dj Tass aliekwenda Big Brother Africa Johannesburg South Africa, amefurahia mapokezi yake lakini pia ameyataja masharti aliyopewa ikiwemo nyimbo ambazo hazitakiwi kuchezwa.
CHANZO CHA HABARI:MILLARDAYO.COM
CHANZO CHA HABARI:MILLARDAYO.COM






0 maoni:
Chapisha Maoni