Kama unakumbuka Staa wa kike wa Bongo Fleva wa hit single ‘Ole Themba’ Linah Sangaaliwahi kum-amplify kwa kuwataka wasanii wenzake waanze kutumia fursa ya kujitangaza kimuziki kimataifa ili soko la muziki wa Tanzania liendelee kukua na kujulikana.
Good news ninayotaka ku-share na wewe mtu wangu kuwa wasanii wa kundi la TMK Wanaume Chege na Mh Temba pamoja na msanii wa Tip Top Connection Madeewakiwa bado wapo mjini Pretoria, ambapo leo Novemba 18 Mh.Temba amepost picha inayomuonesha akiwa studio na Dj Maphorisa, mmoja ya wanaounda kundi maarufu la Afrika Kusini ‘Uhuru‘ ikiashiria tunakae tayari kwa taarifa nzuri kutoka kwao.
.
Hizi ni baadhi ya nyimbo ambazo zipo kwenye hits Afrika Kusini alizowahi kutengeneza Dj Maphorisa akishirikiana na wenzake (Dj Clap, Xelimpilo)
1.Uhuru ft Dj Buckz,Oskido,Professor and Uri-Da-Cunhla ‘Y-tjukutja’
2.Tsalanang ft Uhuru-Bhengu Bhengu
0 maoni:
Chapisha Maoni