Jumatano, 5 Novemba 2014

EXCLUSIVE:NISHER ATOA DONGO KWA WOTE WANAOMUANDIKIA 'NYARAKA' ZA KUMKOSOA SOMA ZAIDI HAPA

.
.NISHER
Director Nisher atupa jiwe gizani unahisi amemlenga nani?
Kupitia mtandao wa Instagram Nisher amepost picha yenye maneno yanayoonekana kuwa ni dongo linalomwendea mtu ambaye hakumtaja ,kwenye picha hiyo Nisher ameandika #Mi hua nacheka sana, Unakuta Mtu anaandika Comment Waraka Mkubwa unaotosha Kua Kitabu cha kuuza, ndani ka-kukosoaaaa weeeeee…. MIMI nasema hiviiii… Kama mtanzania Mzalendo, Mimi najifunza Kwa kuona kazi KALI, sio NYARAKA… so kama una-Kazi umeipiga KALI KULIKO YANGU, TENA NIRIDHIKE KABISAAAA KUA UMEFANYA KULIKO MIMI, NIONYESHE NIJIFUNZE!!!!!!! Ukiniandikia Magazeti unaniongezea Maisha tu manake NTACHEKA HATARI!!!!!!! #NimesemaTU #JUSTSAYING …… ukiona nimekukwaza kwa hii status Ujue nilikua naongea na wewe!!’aliandika Nisher.
Swali,Je dogo hilo linawaendea wakina nani?
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text