
Ndoa ya mwisho ya Maalim imeisha na ametoroka na seti ya vito vya dhahabu vya mke wake, na stori iliyopo ni kuwa amekuwa akiwaibia wanawake zake na kutokomea navyo.
Kwenye Hekaheka ya kesho utawasikia wanawake ambao bwana Maalim amewahi kuwaoa na kuwaacha kwa stairi hiyo hiyo.
Kisikie alichokisimulia Geah Habib kwenye Intro ya Hekaheka hiyo ya leo kupitia 88.5 Clouds FM Dar es Salaam.
SIKILIZA HAPA KIDOGO:
0 maoni:
Chapisha Maoni