
Tanzania ilimfahamu vizuri baada ya hits zake kama mama na ile ya ‘chokoza’ lakini baada ya hapo Avrill ambae ni Mkenya ameendelea kuwa kwenye TV na Radio kutokana na kazi zake nzuri ambazo amekua akizitoa mara kwa mara.
Ukishatazama hii mpya pia usisahau kuachia comment yako ili akipita akutane na maoni ya fans wake. Ambao umazidi kumkubali kwa kazi zake za kila siku.
bonyeza hapa kuangalia...
0 maoni:
Chapisha Maoni