Kampuni ya Weusi ambayo ina wasanii (5) Joh.Makini,Nikki wa pili,Lord Eyez,Bonta,G Nako Nov 1 wameacha historia nyingine 87.9 (Arusha) funga mwaka,show ilifanyika katika ukumbi wa Triple A.
Kwenye hii time Weusi walisindikizwa kwenye stage na wakali kama Navy Kenzo (Aika na Nahreel,Vanessa Mdee (VeeMoney),Jambo Square,Ambwene Yessaya na Ben Pol.
0 maoni:
Chapisha Maoni