Jumanne, 18 Novemba 2014

HAYA SASA NI VANESSA MDEE AMEKUJA TENA KWAHIYO KUWA ATTENTION KUONA KICHUPA KIPYA....

Screen Shot 2014-11-18 at 12.13.24 PMKwanza watu walianza kuitamani baada ya mfululizo wa picha kuendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na imeingia kwenye Top10 ya cover za single mpya Tanzania zilizoongelewa sana.
Barnaba na Vanessa ni marafiki wa muda mrefu lakini hawajawahi kusikika kwenye single moja, ibonyeze brand new hapa chini alafu usiache kutoa maoni yako manake kati ya saa moja jioni na saa tatu usiku leo watapita kusoma maoni ya watu wa nguvu.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text