Jumatatu, 6 Oktoba 2014

Home » Michezo » Tazama namna Ronaldo alivyoweka rekodi mpya ya ufungaji – Madrid iipocheza dhidi ya Bilbao Tazama namna Ronaldo alivyoweka rekodi mpya ya ufungaji – Madrid iipocheza dhidi ya Bilbao


1412540566977_wps_42_MADRID_SPAIN_OCTOBER_05_TMwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo jana usiku aliendelea kuandika rekodi mpya kwenye historia ya soka duniani hasa katika upande wa ufungaji wa magoli.
Katika uwanja wa Santiago Bernabeu, Real Madrid iliendeleza wimbi lake la ushindi baada ya kuiadhibu Atheltic Bilbao kwa kuwafunga 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Hispani.
Ronaldo alifunga mara 3 na Benzema akifunga mara mbili na kukamilisha ushindi wa 5-0.
Usiku wa jana Cristiano Ronaldo aliandika historia ya kuwa mchezaji aliyefunga hat trick nyingi zaidi kwenye La Liga akiwa amecheza ndogo tofauti na wenzake waliofungana kwenye listi ya wachezaji wanaongoza kufunga hat trick nyingi katika ligi hiyo.
Ronaldo sasa amefikisha magoli 13 katika 7 za La Liga – na magoli 17 katika michuano yote.
LISTI YA WAFUNGAJI BORA WA HAT TRICKS KATIKA HISTORIA YA LA LIGA
Cristiano Ronaldo: 22 (Misimu 6)
Di Stefano: 22 (Misimu 13 )
Zarra: 22 (Misimu 15)
Messi: 19 (Misimu 11)
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text