• This is default featured slide 1 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 2 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 3 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 4 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

  • This is default featured slide 5 title

    Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by NewBloggerThemes.com.

Jumapili, 31 Agosti 2014

CCM YAIBOMOA NGOME YA CHADEMA KWA KUVUNA WANACHAMA 170.....



    KADI_MPYA_2f8f6.jpg
    KADI_7a59a.jpg
    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga akipokea kadi ya CHADEMA kutoka kwa Desius Nyoni (kushoto) aliyekuwa Afisa Habari Msaidizi Wilaya ya Mufindi katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana. 
    MIRAJI_b2066.jpg
    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya wa Mufindi, Komredi Miraji Mtaturu akitoa hotuba.

    MTENGA_e6c14.jpg
    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga akihutubia
    SHANGWE_95854.jpg
    Wafuasi na wanachama wa CCM wakishangilwa ushindi wa chama hicho baada kuzoa wanachama 170 kutoka Chadema katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA
    SHINA_594b5.jpg
    AFISA_HABARI_16878.jpg
    Alikuwa ni afisa habari wa CHADEMA Wilaya ya Mufindi, Rubeni Mwagala, akimwaga manyanga katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana.
    NA FRIDAY SIMBAYA, MUFINDI
    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mufindi kimeisambaratisha ngome ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kufanikiwa kuvuna viongozi na wanachama 170 wa CHADEMA akiwamo Afisa Habari wa Wilaya hiyo, Rubeni Mwagala.
    Viongozi na wanachama hao wa CHADEMA wakiongozwa na Rubeni Mwagala, ambaye alikuwa ni afisa habari wa CHADEMA Wilaya ya Mufindi, walitangaza rasmi kuachana na chama hicho katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana.
    Katibu wa CCM wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga alizindua shina la wakeleketwa CCM Nyololo na baadaye aliwakabidhi kadi za uanachama wa wanachama wapya katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya wakazi wa kijiji hicho.
    Viongozi wengine wa Chadema waliohamia CCM ni pamoja na afisa habari msaidizi wa wilaya ya mufindi, Desius Nyoni na Afisa habari muamasishaji wa wilaya hiyo Meja Mfilinge.
    Wana CHADEMA hao waliohamia CCM walikiponda vikali chama hicho kimejaa ubabe, ukabila na kwa kufanya siasa za vurugu hapa nchini.
    Kwa upande wake afisa habari huyo wa CHADEMA, Rubeni Mwagala aliwaomba radhi wananchi wa Nyololo kwa polisi kuwapiga mabomu tarehe 2 Septemba mwaka 2012 na kupelekea kuuawa kwa aliyekuwa mwandishi wa kituo cha televisheni cha Channel Ten, Daudi Mwangosi katika Kijiji cha Nyololo wilayani Mufindi, mkoa wa Iringa.
    Alisema kuwa akiwa kama afisa habari wa Chadema wilaya ya Mufindi ndiye aliyeratibu kufanyika mkutano na kupelekea mwandishi wa habari wa Chanel Ten Mkoa wa Iringa na Mwenyekiti chama cha waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC), Daud Mwangosi ameuwawa katika vurugu za polisi na wafuasi wa Chadema katika kijiji cha Nyololo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
    Naye Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga aliwasihi wananchi waKijiji cha Nyololo na kwengineko wasibeze hatua ya maendeleo yaliyofanywa na chama tawala.
    Alitoa mifano hiyo ya maendeleo katibu huyo alisema wakati nchi hii inapata uhuru kutoka kwa wakoloni nchi ilikuwa barabara za lami kilometa 300, lakini mpaka sasa kuna barabara za lami zenye urefu kilometa 17,800.
    Alisema nchi wakati huo ilikuwa na vyuo vikuu vichache lakini leo hii ina jumla ya vyuo vikuu 34 na kuongeza kuwa hapo zamani kulikuwa na madakatari bingwa wachache lakini leo hii kuna madaktari bingwa 5200.
    Aliwaasa pia wananchi kulinda amani iliyopo nchini kama mboni ya jicho na kuongeza kuwa ni heri kula dagaa kwenye nyumba yenye amani kuliko kula minofu ya sangara kwenye nyumba ya vita.
    Kwa upande wake Katibu wa CCM wilaya ya Mufindi komradi Miraji Mtaturu alisema wakati umefika sasa wananchi wa Mufindi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu 2015, pigeni kura za hasira baina ya CHADEMA na kisha kuisambaratisha kabisa ngome hiyo kuwachagua viongozi wa kwa maendeleo yao.
    Mwisho
    Caption
    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga akipokea kadi ya CHADEMA kutoka kwa Desius Nyoni (kushoto) aliyekuwa Afisa Habari Msaidizi Wilaya ya Mufindi katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)
    Wafuasi na wanachama wa CCM wakishangilwa ushindi wa chama hicho baada kuzoa wanachama 170 kutoka Chadema katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Kijiji cha Nyololo, mkoani Iringa jana.
Share:

ILIVYOKUWA FIESTA HUKO MOSHI:


4Feza Kessy ni miongoni mwa Wasanii waliokua wanasubiriwa kwenye stage ya Serengeti Fiesta 2014 hapa Moshi show iliyofanyika August 30 ambapo staa huyu alieiwakilisha Tanzania kwenye BBA 2013, alipanda kwenye stage na dancers wake watatu wa kiume.
Waimbaji wengine wa kike waliochukua mic kwenye stage ni pamoja na Shaa, Maua na Recho.
5
6
35
Shaa kazini
34
33
32
31
30
29
8
Maua
7
16
Recho
17
18
19
TUKISHIRIKIANA NA MILLARDAYO.COM TUTAKULETEA KILA TUKIO  POPOTE MWA KONA YA TANZANIA.
Share:

Baada ya Majanga, Nimevurugwa na ushaharibu…. Snura katuletea hii.....

Screen Shot 2014-08-31 at 2.54.16 PMNi time nyingine tena ya mkali wa mauno Snura ambae alishawahi kuingia kwenye headlines ikiwemo nyimbo zake kutolewa na BASATA kushiriki kwenye tuzo za KILI 2013/2014.
Share:

MAGAAZETI YA LEO TAREHE 31/8/2014

.
.
Ni halali yako kupata kila kinachonifikia mtu wangu na niko tayari kukutumia wakati wowote iwe usiku au mchana na iwapo unaridhika na huduma zangu basi unaweza kujiunga na mimi kwa kubonyeza hapa ili niwe nakutumia vitu mbalimbali >>> twitter Insta FB

.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

Share:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text