Jumamosi, 30 Agosti 2014

SERENGETI SUPER NYOTA DIVAZ MOSHI YAMPATA SIA MARY KAMA MWAKILISHI WAO


41fstmshMashindano ya serengeti Super Nyota Divaz ambayo ni sehemu ya wasanii wachanga au vipaji vipya kuonekana kwa mikoani hasa upande wa wakina dada ambao wamekua wakiikosa fursa ya kuonekana yamemalizika kwa Moshi.
Mkoa wa Kilimanjaro,Manispaa ya Moshi imewakilishwa na msichana ambaye ana Rap,inaweza kuwa kwa sababu utamaduni wa Kaskazini ni hip hop lakini huyu ameonyesha kuipenda sana rap toka hatua ya mwanzo ya mashindano.
Wasichana waliojitokeza kwa Moshi ni wa 4 pekee ambao walionyesha uwezo wao mbele ya majaji wakiongozwa na Dj Fetty lakini Sia Mary alifanikiwa kuwashinda wenzake ambao baadhi yao walikua waki Rap pia.
Mshindi wa pili wa mashindano haya ambaye katoka Arusha kwa ajili ya kuyafuata mashindano haya amepewa ofa na Dj Mully B ya kumsaidia kimuziki kuanzia kurekodi audio mpaka video na kisha kumpeleka THT.
46fstmsh
Mshindi wa Serengeti Super Nyota Divaz Moshi Sia Mary.
44fstmsh
40fstmsh
39fstmsh
31fstmsh
Hapa walikuwa wakisubiri Mshindi atangazwe.
32fstmsh
34fstmsh
35fstmsh
36fstmsh
28fstmsh
25fstmsh
24fstmsh
22fstmsh
Hawa ndiyo washiriki wote wa Serengeti Super Nyota Divaz 2014.
18fstmsh
Mshindi wa pili wa Serengeti Fiesta Super Nyota 2014.
10fstmsh
13fstmsh
16fstmsh
17fstmsh
9fstmsh
Top 3 ya Serengeti Super Nyota Divaz Moshi 2014.

8fstmsh
Jumla ya washiriki waliojitokeza.
6fstmsh
1fstmsh


Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text