Jumatatu, 25 Agosti 2014

HARUSI YA MR JAGUAR NDO HII RASMI


Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.37 AMJaguar aliandikwa na vyombo kadhaa vya habari Kenya kwamba amekwenda kufunga ndoa ya Mwanamke wa maisha yake nchini Afrika Kusini ambapo picha zilianza kusambaa toka wiki iliyopita.
kwenye exclusive na millardayo.com Jaguar amesema ni kweli wengi walidhani ni ndoa amekwenda kufunga ila ukweli ni kwamba hiyo ni video yake mpya ambayo inatoka Jumatatu ya leo August 25 2014.
Screen Shot 2014-08-25 at 5.32.04 AM
Pulse Magazine Kenya.
Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.31 AM
Screen Shot 2014-08-25 at 5.33.19 AMScreen Shot 2014-08-25 at 5.33.12 AM

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text