Alhamisi, 28 Agosti 2014

Breaking news! Emmanueli Okwi arudi simba.


Okwi-EmmaEmmanel Okwi ameamua kurejea katika timu yake ya zamani ya Simba Sports Club,Emanuel Okwi ambaye ni raia wa Uganda rasmi leo amesaini kujiunga na Simba baada ya kuelewana na uongozi wa klabu hiyo.
Emanuel Okwi amechukua maamuzi ya kusaini kucheza timu ya Simba baada ya Yanga kumuacha.

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text