Jumapili, 17 Agosti 2014

Story mpya ya Chris Brown inayosambaa kwenye internet(www.samerick.blogspot.com)

browb


Chris Brown anakaribia kutoa album yake mpya ambayo imechelewa kutoka kwasababu ya kesi zake mahakamani. Lakini hivi karibuni ilisemekana kwamba ameachana na girlfriend wake Karrueche, lakini hivi sasa story mpya ni kwamba Chris Brown amepost picha akiwa na Karrueche kwenye ukurasa wake wa instagram.
Hadi post hii inawekwa yamepita masaa 4 tangu Chris Brown aipost hii picha na imepata likes zaidi ya 140,000 pamoja na comment za kutosha. Kilichobaki ni swali moja, hawa wawili wamerudiana au ni drama za promotion ya album ya Chris Brown.

Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text