Jumanne, 19 Agosti 2014

NGOMA MPYA YA CHID BENZI AKIWA NA DIAMOND PAMOJA NA A.Y


chidMiongoni mwa ma rapa wenye sauti ya kipekee Tanzania kwenye list yako hutomkosa Chid Benzi ambaye mbali na kuwa na sauti ya kipekee pia ni mkali kwa michano yake.
kvHapa kawashirikisha AY na Diamond Platnumz wimbo umerekodiwa studio za Prince Dullysykes na umepata nafasi ya kupitia kwenye mikono ya Tudd Thomas na Emma The Boy.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text