Ijumaa, 29 Agosti 2014

RAIA WEMA WANAUWAWA SANA HUKO KENYA KULIKO MAJAMBAZI


Screen Shot 2014-08-29 at 8.22.48 AMKuna hii ripoti mpya ya utafiti uliofanywa Kenya na Medico legal unit ambalo ni shirika la kijamii linaloonyesha wasiwasi wake kutokana na mashambulizi mengi yanayofanywa kwa raia wasio na hatia.
Wanasema kwenye huo utafiti, wamegindua raia masikini wasio na hatia wamekua wakiuwawa kwa risasi na polisi kwa kasi ya zaidi ya wanavyouwawa Majambazi.
Wanakwambia ni watu 160 ambao walipigwa risasi na Polisi kuanzia January – July 2014 na kwamba asilimia 60 ya miili 1863 iliyopelekwa chumba cha kuhifadhi maiti ilikua na majeraha ya risasi.
Share:

0 maoni:

MATUKIO YA VIDEO

Kumbukumbu la Blogu

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support

Sample Text