
Kwa Tanzania ukimtoa Wema Sepetu na Diamond watu wengine walio kwenye uhusiano na kutangaza kabisa ni pamoja na Nuh Mziwanda na Shilole ingawa pia zilishawahi kutoka stori za Msami wa THT na Irene Uwoya kuwa wapenzi.

Kikubwa alichozungumza meneja wa Kajala ni juu ya kazi mpya ya filamu ambayo inategemewa kutoka siku si nyingi ambayo inamhusisha Kajala na Quick Rocker,filamu hiyo inaitwa Mbwa Mwitu.
0 maoni:
Chapisha Maoni